Je! unataka kuwa mwezeshaji imara katika kilimo?
Mafunzo haya yanalenga kukuza uwezo wa mwezeshaji, jinsi ya kuandaa, kuendesha na kutathmini vipindi. Pia utajifunza jinsi ya kufanya vipindi vyako vivutie na viwe shirikishi. Utajifunza jinsi ya kutengeneza majadiliano na kupata mawazo mengi zaidi kutoka kwa washiriki ili kutambua uelewa na mitazamo yao.
Utajifunza yafuatayo;
Malengo ya kozi;
Courses 2023
Please note that our training schedule is subject to change due to variable course attendance. To confirm the course dates, contact us as indicated below.
Training Fee: TZS 550,000 per participant
(NOTE: everything else is the same as in the first course)
Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.