UJASIRIAMALI NA KILIMO BIASHARA

Je, una nia ya kuanzisha biashara ya kilimo yenye mafanikio? Kama ndiyo, katika kozi hii, utapata maarifa na ujuzi muhimu wa kuandaa mipango ya biashara na kuhakikisha uzalishaji wa shamba lako kwa mipango sahihi ya usimamizi wa shamba. Baada ya siku tano za mafunzo, unaweza kuendeleza biashara yako mwenyewe yenye uwezo wa kukua na kupata ufadhili.

Je, una nia ya kuanzisha biashara ya kilimo yenye mafanikio? Kama ndiyo, katika kozi hii, utapata maarifa na ujuzi muhimu wa kuandaa mipango ya biashara na kuhakikisha uzalishaji wa shamba lako kwa mipango sahihi ya usimamizi wa shamba. Baada ya siku tano za mafunzo, unaweza kuendeleza biashara yako mwenyewe yenye uwezo wa kukua na kupata ufadhili.

Utakayo Jifunza

Katika kozi hii, utajifunza kuhusu…

  • Utambuzi wa ujuzi wa biashara
  • Uandaaji wa mpango wa biashara
  • Masoko
  • Mtaji na vyanzo vya ufadhili wa biashara
  • Uendelezaji wa bidhaa
  • Uwekaji wa chapa na ufungashaji
  • Usimamizi wa fedha
  • Uelewa wa masuala ya shamba
  • Ubunifu wa mapato
  • Uongozi
  • Uhasibu wa biashara na uwekaji kumbukumbu
  • Huduma kwa wateja

Malengo ya kozi

Baada ya kushiriki katika kozi hii, washiriki wanapaswa kuwa na uwezo wa…

  • kushinda soko kwa kutumia mikakati bora ya masoko.
  • kuboresha mashamba yao hadi kiwango cha kitaalamu au kuanzisha biashara yao wenyewe ya kilimo.
  • kuboresha ujuzi wao wa kifedha na kutumia kumbukumbu za biashara pamoja na data za uhasibu kufanya maamuzi sahihi ya biashara.

Kozi ya 2025

1 Septemba – 5 Septemba 2025 — Namba ya Kozi: EAD

Tafadhali kumbuka kuwa ratiba yetuya mafunzo inaweza kubadilika kutokana na mahudhurio tofauti ya kozi. Ilikuthibitisha tarehe za kozi wasiliana nasi kama ilivyoonyeshwa hapa chini.

 Ada ya Mafunzo: TZS 450,000 kwa kila mshiriki

Fomu ya Usajili

Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.

-
+
Malipo ya Bank au Simu - (Kama simu, tafadhali andika namba)
UJASIRIAMALI NA KILIMO BIASHARA
1st September – 5th September 2025 — Course ID: EAD
Asante kwa kujisajili kwa kozi na sisi! Maelekezo zaidi yametumwa kwa anwani yako ya barua pepe. Tafadhali angalia kasha lako la kuingia (inbox) na kasha lako la barua taka (spam). Tunatarajia kukutana nawe katika kozi zetu za mafunzo. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia training@kilimo.org.
Oops! Something went wrong while submitting the form.